Rais Samia akiwa ziarani Nchini Misri - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 11, 2021

Rais Samia akiwa ziarani Nchini Misri

 

  

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania na Misri wakati wa hafla ya utiaji saini Hati za makubaliano katika Nyanja ya Elimu, Elimu ya Juu na Michezo kati ya Tanzania na Misri Ikulu Cairo Misri.

Rais wa Misri Mhe. Abdel Fatth Al Sisi, akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania na Misri wakati wa hafla ya utiaji saini Hati za makubaliano katika Nyanja ya Elimu, Elimu ya Juu na Michezo kati ya Tanzania na Misri Ikulu Cairo Misri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad