Picha za wafanyakazi Coca-Cola uzinduzi wa kampeni ya Maajabu Halisi - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 19, 2021

Picha za wafanyakazi Coca-Cola uzinduzi wa kampeni ya Maajabu Halisi

Meneja Mwandamizi wa Chapa ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (mwenye kipaza sauti aliyesimama) akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Coca-Cola Kwanza Tanzania jijini Dar es Salaam kuwaelezea kuhusu uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi kama huo ulifanyika mwanzoni hii, pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa tofauti ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowashirikisha wateja maeneo mbalimbali na kuendelea msimu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka.

Baadhi ya matukio ya shamrashamra wakati wa uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’ kwa wafanyakazi wa kampuni ya Coca-Cola Kwanza Tanzania jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huu ulifanyika mwanzoni hii, pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa tofauti ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kuendelea msimu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka.

Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya Coca-Cola Kwanza Tanzania jijini Dar es Salaam (pichani) wakifuatilia uzinduzi wa kampeni inayojulikana kama ‘Maajabu Halisi na Coca-Cola’ au ‘Real Magic’. Uzinduzi huu ulifanyika mwanzoni hii, pia unatarajiwa kufanyika katika mikoa tofauti ambapo utaambatana na shughuli tofauti za kusisimua zitakazowahusisha wateja maeneo mbalimbali na kuendelea msimu wote wa sikukuu mpaka mwisho wa mwaka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad