MAONESHO YA ZANA ZA KIDIGITALI YA SIKU 16 YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 29, 2021

MAONESHO YA ZANA ZA KIDIGITALI YA SIKU 16 YA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM

 

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Bi Kate Somvongsiri akisoma hotuba yake kwenye Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Bi. Anna Henga, akitoa mada kwenye Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.ambapo ameahidi kuendelea kutoa elimu kwa jamii Jambo ambalo litapelekea kuwepo kwa matokeo chanya.Mkuu wa Kitengo Cha Sheria - Sheria Kiganjani,Neema Magimba akitoa maelezo kwa mgeni rasmi namna mfumo wa Sheria Kiganjani unavyofanya kazi kwenye Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Bi. Anna Henga (kulia) akikabidhi zawadi kwa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Bi Kate Somvongsiri kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) Bi Kate Somvongsiri akiwa kwenye picha ya pamoja na washiriki wa Maonesho ya zana za Kidigitali ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, uliofanyika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere leo jijini Dar es Salaam.Wafanyakazi wa Kitengo cha Sheria Kiganjani wakiwa kwenye picha ya pamoja.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad