KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YAFANYA KIKAO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 8, 2021

KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE YAFANYA KIKAO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Mussa Zungu akizungumza katika kikao cha Kamati kilichokutana Bungeni Jijini Dodoma. Kamati hiyo ilikutana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kujadili utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. George Simbachawene akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, wakiwa katika kikao cha Kamati kilichokutana Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilikutana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kujadili utendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad