Vodacom Tanzania Plc yazindua Vodashop jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini humo - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 10, 2021

Vodacom Tanzania Plc yazindua Vodashop jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja jijini humo

 

 


Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dk. Rashid Chuachua akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Duka la Vodashop jijini Mbeya ikiwa ni maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja.  Ufunguzi wa duka hilo ni moja ya mikakati ya Vodacom Tanzania Plc kuhakikisha inaleta huduma karibu na wateja wake. Kulia ni Mkurugenzi wa Biashara Vodacom Tanzania Plc Linda Riwa, Mkuu wa mauzo wa Kampuni hiyo Nyanda za juu Kusini Ezekiel Nungwi (mwenye shati jeupe) na kushoto ni Diwani wa kata ya Sisimba Josephine Qamunga.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad