HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 25, 2021

Vodacom Tanzania Plc yashiriki ufunguzi wa maoneesho ya wiki ya Azaki Dodoma

 


Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Plc, Alex Bitekeye (katikati) akitoa maelezo kwa spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (kulia mwenye suti nyeusi) kuhusu huduma na bidhaa mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo wakati alipotembelea banda la Vodacom kwenye maonesho ya wiki ya azaki iliyoanza jijini Dodoma mwishoni mwa wiki.


Mratibu wa mfumo wa kilimo kampuni ya simu ya Vodacom Tanzania Plc Ezra Kangala (kushoto) akitoa maelezo kuhusu mfumo wa M-Kulima kwa spika wa Bunge Job Ndugai (kulia mwenye suti nyeusi) alipotembelea banda la kampuni hiyo kwenye maonesho ya wiki ya azaki iliyoanza jijini Dodoma mwishoni mwa wiki

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad