SHIRIKA LA COMPASSION LAAZIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 11, 2021

SHIRIKA LA COMPASSION LAAZIMISHA SIKU YA MTOTO WA KIKE DUNIANI

Picha mbalimbali zikionyesha maandamano katika siku ya mtoto wa kike duniani ambapo katika wilaya ya Monduli mkoani Arusha yamefanyika kata ya Monduli juu kwa kuvikutanisha vituo saba vya shirika la Compassion International Tanzania (CIT).

“Kauli mbiu ya maadhimisho haya kitaifa ni ‘kizazi cha kidijitali, kizazi chetu’ Ikiikumbusha jamii kutoa haki sawa kwa watoto wote kwenye teknolojia ya kidijitali ili kuitumia kwa maendeleo na ustawi wao.”No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad