HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 20, 2021

NAIBU WAZIRI CHILO AWAONGOZA WATENDAJI WA WIZARA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE, JIJINI DODOMA LEO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kushoto kwa Naibu Waziri, ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi. 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akizungumza katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, o yleo. Kushoto kwa Naibu Waziri, ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mussa Azzan Zungu akizungumza katika Kikao cha Kamati hiyo, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Vitambulisho vya Taifa, Edson Guyai akiwasilisha taarifa za NIDA katika Kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, kilichofanyika, Bungeni jijini Dodoma, leo. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo, na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Christopher Kadio. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad