HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 28, 2021

NAIBU SPIKA DKT. TULIA AFANYA MAZUNGUMZO NA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi (kushoto) alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021, Wapili kulia ni Katibu wa Naibu Spika, Bw. James Sapali na Katibu wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Bi. Sylvia Matiku
Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akimsikiliza Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dkt. Eliezer Feleshi alipomtembelea leo ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Oktoba 28, 2021.(PICHA NA OFISI YA BUNGE)No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad