HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 22, 2021

Rais Samia akutana na kuzungumza na Viongozi mbalimbali wa UN

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la biashara duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. PICHA NA IKULU.
Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021. 


 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad