Mkuu
 wa Wilaya ya Ikungi Jerry Muro amesema ili kutatua jero za wananchi wa 
wilaya ya Ikungi atatumia kurasa za mitandao ya kijamii, face book, 
instagram na Twitter pamoja na makundi ya whatsapp ili kujua kero zao na
 kuzitafutia utumbuzi.
Muro amesema hayo katika mkutano wake na 
wa awamu ya kwanza na wananchi wa kata ya Unyaahat kijiji cha mahambe 
jimbo la singida mashariki wilaya ya Ikungi.
Aidha amesema ili 
kuyafikia makundi mengi atatumia pia atatumia mfumo wa kuweka taarifa 
kwenye ofisi za serikali za vijiji kupitia watendaji wa vijiji na kata, 
 mikusanyiko katika madhehebu ya dini na  mikutano ya hadhara 
itakayofanywa na viongozi wa kisiasa wabunge, madiwani na wenyeviti wa 
vijiji.
 

 
 




 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment