RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MASJID MAHFOUDH MAZIZINI UNGUJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 17, 2021

RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MASJID MAHFOUDH MAZIZINI UNGUJA

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele) akiwasalimia waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya Sala ya Ijumaa leo aliposhiriki katika Masjid Mahfoudh Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.]
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiagana na Viongozi mara baada ya kusalimiana  na  Waumini wa Dini ya Kiislamu na Wananchi baada ya Sala ya Ijumaa leo aliposhiriki sala hiyo katika Masjid Mahfoudh Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad