RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MLEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MIKOA WA KUSINI NA KASKAZINI UNGUJA JOB NDUGAI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 22, 2021

RAIS DK.HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MLEZI WA CHAMA CHA MAPINDUZI MIKOA WA KUSINI NA KASKAZINI UNGUJA JOB NDUGAI

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mikoa wa Kusini na Kaskazini Unguja ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe. Job Yustino Ndugai alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu, akiwa katika ziara yake ya Kichama Zanzibar.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa,Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mikoa ya Kusini na Kaskazini Unguja ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.Job Yustino Ndugai, alipofika Ikulu kwa mazungumzu, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kichama katika Mikoa wa Kusini na Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na mgeni wake Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mikoa ya Kusuni na Kaskazini Unguja, ambae pia ni Spika wa Bunge la Tanzania.Mhe. Job Yustino Ndugai, wakitoka katika ukumbi wa baada ya kumaliza mazungumzo yao, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Kichama katika Mkoa wa Kusini na Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad