NAIBU KATIBU MKUU AFANYA ZIARA NEWALA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, September 17, 2021

NAIBU KATIBU MKUU AFANYA ZIARA NEWALA


Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akikagua moja ya darasa katika Shule ya Sekodari Mpotola ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. . (Picha na CCM Makao Makuu)
Naibu Katibu Mkuu CCM (Bara) Ndugu Christina Mndeme akizungumza na wataalamu mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Newala, mkoani Mtwara ikiwa ni sehemu ya ziara ya Katibu Mkuu wa CCM pamoja na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM yenye lengo la kukagua, kusimamia na kuhamasisha utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025. (Picha na CCM Makao Makuu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad