BENKI YA NMB NA CCBRT ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUSAIDIA MATIBABU YA FISTULA KUPITIA NMB MARATHON 2021 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 16, 2021

BENKI YA NMB NA CCBRT ZAINGIA MAKUBALIANO YA KUSAIDIA MATIBABU YA FISTULA KUPITIA NMB MARATHON 2021

Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (wa pili kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Brenda Msangi (wa pili kulia) wakionyesha hati za makubaliano ya ushirikiano wa mbio za NMB Marathon 2021 kwa ajili ya matibabu ya wakinamama wenye ugonjwa wa Fistula wanaotibia katika Hospitali ya CCBRT, Dar es salaam. Makubaliano hayo yamefanyika leo kwenye Makao makuu ya Benki ya NMB yaliyoenda sababa na uzinduzi wa NMB Marathon 2021. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya UPA, Nelson Rwihula na kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya Sanlam Life Insurance, Julius Magabe.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB, Ruth Zaipuna (kushoto) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa CCBRT, Brenda Msangi wakibadilishana nyaraka za makubaliano ya ushirikiano wa mbio za hisani za NMB Marathon 2021 zenye lengo la kuchangisha fedha kwa ajili ya matibabu ya wakinamama wenye ugonjwa wa Fistula wanaotibia katika Hospitali ya CCBRT, Dar es salaam. Makubaliano hayo yamefanyika leo kwenye Makao makuu ya Benki ya NMB yaliyoenda sababa na uzinduzi wa NMB Marathon 2021. 

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad