HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 6, 2021

WANANCHI WAJIUNGA NA NHIF SABASABA

 Wananchi wakiendelea kupata huduma ya Bima ya Afya katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)  leo katika  maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa mkoa wa  Dar es Salaam. Meneja wa Mfuko  wa Taifa wa Bima ya Afya(NHIF ) Mkoa wa Kinondoni , Innocent Mauki (kushoto) akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Mfuko huo namna ya kujaza fomu leo katika  maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa mkoa wa  Dar es Salaam. 


Maafisa Mfuko wa Taifa ya Bima ya Afya (NHIF) wakiwa wanendelea na kazi ya kusajili wananchi wanaojitokeza kupata huduma ya bima ya Afya katika  maonesho ya  45 ya Biashara ya Kimataifa  ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere  Barabara ya Kilwa mkoa wa  Dar es Salaam. 

1 comment:

Post Bottom Ad