HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 10, 2021

RAIS SAMIA AMUANDALIA DHIFA YA KITAIFA RAIS WA JAMHURI YA BOTSWANA DKT. MOKGWEETSI ERIC KEABETSWE MASISI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Viongozi wa Kidini, viongozi wa vyama vya siasa kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake. PICHA NA IKULU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi tarehe 10 Juni 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi akizungumza na viongozi mbalimbali katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Viongozi wa Kidini, viongozi wa vyama vya siasa kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad