MKUTANO WA MWAKA WA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI WA IDARA YA HUDUMA ZA UANGALIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, June 2, 2021

MKUTANO WA MWAKA WA TATHMINI YA UTENDAJI KAZI WA IDARA YA HUDUMA ZA UANGALIZI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 


 

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio (aliyekaa katikati) na Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Uangalizi, Aloyce Musika (wapili Kushoto), wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa  JKT- Umwema Morogoro. Mkutano huo ulihudhuriwa pia na baadhi ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara hiyo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio  akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa  na wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro.
Mkurugenzi wa Idara ya Huduma ya Uangalizi, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Aloyce Musika, akizungumza na Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi (hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro.
Baadhi ya Maafisa Wafawidhi wa Mikoa na Wafanyakazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi wakiwa kwenye Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi ulioanza leo katika ukumbi wa Mikutano wa JKT- Umwema Morogoro.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio akiwasili katika ukumbi wa Mikutano wa JKT Umwema, Morogoro kufungua  Mkutano wa Tathmini ya Utendaji Kazi wa Idara ya Huduma za Uangalizi Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, unaoanza leo, tarehe 2 Juni, 2021.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad