MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 7, 2021

MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA DUNIA

 

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji anayeziwakilisha Nchi za kundi la Afrika katika Banki ya Dunia Bw. Taufila Nyamazabo, wakati Mkurugenzi Taufila alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini  Dodoma leo Juni 07, 2021. kwenye Mazungumzo yao Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango, ameishukuru Benki ya Dunia kwa Misada ya Kifedha kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Tanzania.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akiwa na Mkurugenzi Mtendaji anayeziwakilisha Nchi za kundi la Afrika katika Banki ya Dunia Bw. Taufila Nyamazabo, wakati Mkurugenzi Taufila alipofika Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino Jijini  Dodoma leo Juni 07, 2021. Ambapo Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mpango, ameishukuru Benki ya Dunia kwa Misada ya Kifedha kwa ajili ya Miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa Tanzania.

 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad