HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, May 24, 2021

ZANZIBAR YARIDHISHWA NA FURSA ZA KIMKAKATI ZINAZOTOLEWA NA NSSF/ZSSF KUWASAIDIA WANAFUNZI ELIMU YA JUU.


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID, Amesema "Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya amali, imekiri Kuridhishwa na Fursa za Kimkakati zinazotolewa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya NSSF na ZSSF kwa ajili ya kuwasaidia Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Kuchangia kwa Hiyari kwa Malengo ya Baadae".
 
 Ametoa kauli hiyo wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Baada ya Kupokea Ripoti Kutoka Kwa Taasisi hizo za Umma. Ni Wakati Sahihi na Muafaka kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Kuchangamkia Fursa hizo, zinazolenga kuwakwamua, Amesema. Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Mbunge Singida Magharibi, ELIBARIKI KINGU Miongoni mwa Baadhi ya Wabunge Waliohudhuria Mkutano mkuu wa TAHLISO, na Kupata nafasi ya Kutoa Wito kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu, Kuhusu Kujiunga na Mifuko ya Hifadhi za Jamii. Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021

Mwenyekiti Mstaafu TAHLISO, PETER NIBOYE akitoa shukrani kwa Taasisi za Umma ikiwemo NSSF kwa kuonesha Dhamira ya Dhati kuwasaidia Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu Kufikia Malengo ya Baadae Kupitia Mfumo wa Kujiwekea akiba kwa ajili ya Baadae. Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021

Meneja Uhusiano Elimu kwa Umma Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF LULU MENGELE , akizungumza Wakati wa Mkutano huo amesema, Taasisi hiyo imeandaa mfumo Mzuri Utakaosaidia Wanafunzi Kuchangia kwa Hiyari Bila ya Changamoto Zozote. Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Mtangazaji, MASOUD KIPANYA  akitoa Wito kwa Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu, Kuhusu Kujiunga na Mifuko ya Hifadhi za Jamii na umuhimu wake katika maisha. Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021


Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID (Kulia) akimkabidhi cheti Meneja Uhusiano Elimu kwa Umma Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF LULU MENGELE.  Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID (Kulia) akimkabidhi cheti Mwenyekiti Mstaafu TAHLISO, PETER NIBOYE.  Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID katika picha ya pamoja na Baadhi ya Wabunge walioudhulia Mkutano huo Uliofanyika  Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID katika picha ya pamoja na Baadhi ya Viongozi Kutoka Taasisi za Umma walioudhulia Mkutano huo Uliofanyika  Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID katika picha ya pamoja na Maraisi kutoka vyuo mbali mbali  za Umma walioudhulia Mkutano huo uliofanyika Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Visiwani Zanzibar, SIMAI MOHAMMED SAID katika picha ya pamoja na Maraisi kutoka vyuo mbali mbali  za Umma walioudhulia Mkutano huo uliofanyika  Zanzibar, Leo Jumapili 23/05/2021
































 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad