Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akivuta utepe kufungua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi Tanzania
kilichopo Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 18 Mei, 2021.
Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Khamis Hamza Khamis
pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimpongeza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro mara baada ya
kufungua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo
Kurasini mkoani Dar es Salaam leo tarehe 18 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akipiga makofi na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Khamis Hamza
Khamis pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro mara
baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Kiwanda cha Ushonaji cha
Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo Kurasini mkoani Dar es Salaam leo
tarehe 18 Mei, 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akikagua kazi za upimaji na ukataji wa vitambaa vinavyotumika katika
kushona sare za Jeshi la Polisi katika Kiwanda cha Ushonaji Nguo cha
Jeshi la Polisi Tanzania kilichopo Kurasini mkoani Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Kurasini
mkoani Dar es Salaam mara baada ya kufungua Kiwanda hicho cha Ushonaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Askari pamoja na Maafisa mbalimbali wa Jeshi la Polisi pamoja na Wageni wengine Kurasini mkoani Dar es Salaam mara baada ya kufungua Kiwanda cha Ushonaji cha Jeshi la Polisi Tanzania. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment