Manaibu waziri wa Tanzania, Sweden wajadili Mabadiliko ya Tabia Nchi, Nishati jadidifu na uchumi wa blue - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 28, 2021

Manaibu waziri wa Tanzania, Sweden wajadili Mabadiliko ya Tabia Nchi, Nishati jadidifu na uchumi wa blue

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Hamad Hassan Chande (kulia), akutana na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Nchini Sweden Mhe. Janine Alm Erickson kujadili  maeneo ya ushirikiano kati ya Sweden na Tanzania katika masuala ya Mabadiliko ya Tabia Nchi, Nishati jadidifu pamoja na uchumi wa blue. Kikao hicho kimefanyika leo 28/5/ 2021 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Jijini Dar es salaam na kimehudhuriwa na Balozi wa Sweden Anders Sjoberg, maafisa kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais na NEMC 
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Hamad Hassan Chande (katikati), akiwa katika picha ya Pamoja na Mhe. Janine Alm Erickson (kushoto) Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa Sweden, Balozi wa Sweden Nchini Tanzania Anders Sjoberg (kulia) pamoja na Maafisa wa NEMC.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad