Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor
Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth
Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es
Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama
Mbonimpaye Mpango. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akisalimiana Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
No comments:
Post a Comment