RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA YUSUPH TINDI MNDOLWA KUWA BALOZI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, April 19, 2021

RAIS, SAMIA SULUHU HASSAN AMUAPISHA YUSUPH TINDI MNDOLWA KUWA BALOZI

 

Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Yusuph Tindi Mndolwa akila Kiapo cha Uadilifu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao eGA Bw. Benedict Benny Ndomba mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 18 Aprili 2021.
Yusuf Tindi Mndolwa akila Kiapo cha kuwa Balozi katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 18 Aprili 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Yusuph Tindi Mndolwa kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 18 Aprili 2021
 PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad