RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS WA JAMHURI YA ETHIOPIA MHE. SAHLE-WORK ZEWDE BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, January 25, 2021

RAIS DKT MAGUFULI AMUAGA MGENI WAKE RAIS WA JAMHURI YA ETHIOPIA MHE. SAHLE-WORK ZEWDE BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA KIKAZI YA SIKU MOJA NCHINI

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde baada ya m,azungumzo yao Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde wakiangalia ngoma za utamaduni wakati akimsindikiza  baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja  Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde wakati akimsindikiza  mgeni wake huyo baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia kumuaga Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku moja nchini katika Uwanja wa Ndege wa Geita leo Jumatatu Januari 25, 20121

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad