KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAKUTANA NA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA YA ELIMU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 28, 2021

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAKUTANA NA TAASISI ZILIZO CHINI YA WIZARA YA ELIMU

 

 


Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu nchini HESLB Ndg. Abdul-Razaq Badru akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa bodi hiyo kwenye Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia jambo wakati wakipokea taarifa ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania Dkt. Charles Msonde akiwasilisha taarifa ya utendaji kazi wa baraza hilo kwenye Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad