RAIS DKT. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 15 December 2020

RAIS DKT. MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi Elias John Kwandikwa wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kumpa pongezi kwa Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita mwaka huu.[Picha na Ikulu] 15/12/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikilza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi Elias John Kwandikwa wakati walipokuwa na mazungumzo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya kujitambulisha pamoja na kumpa pongezi kwa Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita mwaka huu.[Picha na Ikulu] 15/12/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikilza Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhandisi Elias John Kwandikwa (katikati) katika mazungumzo yaliyofanyika Ikulu Jijini Zanzibar leo alipofika kujitambulisha na kumpa pongezi kwa Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliopita (kushoto) Katibu Mkuu Wizara hiyo Nd,Faraji Mnyepe.[Picha na Ikulu] 15/12/2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad