RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 15 December 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA KWA NJIA YA SIMU NA RAIS WA CHINA XI JINPING

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza kwa njia ya Simu na Rais wa China Xi Jinping Ofisini kwake Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 15 Desemba 2020. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad