Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Mama na
mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini
Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini
Unguja Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed (kushoto) Daktari Dhamana Tamim Hamad
Said na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (wa
pilikushoto).[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati) na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed wakifungua
pazia kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya
Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika
Ufunguzi uliofanyika leo (kulia) Mkuu wa Mkoa wa kaskazini Unguja
Mhe.Vuai Mwinyi Mohamed .[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed (katikati) wakipata maelezo
kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said
(kulia) wakati alipotembelea Wodi mbali mbali mara baada ya Ufunguzi wa
Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini
“A”Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi uliofanyika leo (kushota)
Mkurugenzi Mkuu Wizara ya Afya Dk.Jamala Adam Taib na Naibu katibu Mkuu
Halima Maulid Salum.[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed
(kushoto) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Hospitali ya Kivunge
Wilaya ya Kaskazini “A” Mkoa wa Kaskazini Unguja katika Ufunguzi wa
Jengo la Mama na mtoto uliofanyika leo (kulia) Waziri wa
Ardhi,Nyumba,Maji na Nishati Mhe.Salama Aboud Talib.[Picha na
Ikulu.]13/10/2020.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto) na Waziri wa Afya Mhe.Hamad Rashid Mohamed wakipata maelezo
kutoka kwa Daktari Dhamana Hospitali ya Kivunge Dk.Tamim Hamad Said
(kulia) wakati alipotembelea Wodi mbali mbali baada ya Ufunguzi wa
Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini
“A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo .[Picha na Ikulu.]
13/10/2020. Vitanda
vya wagonjwa katika wodi za Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge
Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja ambapo ufunguzi wake
uliofanyika leo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).[Picha na
Ikulu.] 13/10/2020.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Afya wakimsikiliza Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa
akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya
Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika
leo Hospitali ya Kivunge Wilaya ya Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini
Unguja.[Picha na Ikulu.] 13/10/2020.
Baadhi
ya wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya
Ufunguzi wa Jengo la Mama na mtoto Hospitali ya Kivunge Wilaya ya
Kaskazini “A”Mkoa wa Kaskazini Unguja uliofanyika leo .[Picha na
Ikulu.] 13/10/2020.
Wednesday, October 14, 2020

Home
HABARI
RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA JENGO LA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KIVUNGE KASKAZINI UNGUJA
RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AFUNGUA JENGO LA HOSPITALI YA MAMA NA MTOTO KIVUNGE KASKAZINI UNGUJA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment