HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 5, 2020

Benki ya CRDB ilivyozindua wiki ya huduma kwa wateja

 

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela pamoja na Mjumbe wa Bodi wa Benki ya CRDB, Martin Warioba, wakiwa katika zoezi la kupika "pancake" kwa jailli ya wateja wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika hafla hiyo Benki ya CRDB ilifanya zoezi la upishi kwa kushirikiana na wafanyakazi na kuwahudumia waters kwa pamoja ikiwa ni sehemu ya kuonyesha umuhimu wa kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo. Kauli mbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB mwaka huu ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi".

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay pamoja na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi, Prof. Neema Mori Martin, wakiwa katika zoezi la kupika "pancake" kwa jailli ya wateja wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja. Katika hafla hiyo Benki ya CRDB ilifanya zoezi la upishi kwa kushirikiana na wafanyakazi na kuwahudumia waters kwa pamoja ikiwa ni sehemu ya kuonyesha umuhimu wa kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo. Kauli mbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB mwaka huu ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi".
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimlisha mteja "pancake" wakati wa hafla ya uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja iliofanyika katika tawi la Benki ya CRDB TAZARA. Katika hafla hiyo viongozi wa Benki ya CRDB walifanya zoezi la upishi kwa kushirikiana na wafanyakazi na kuwahudumia weteja kwa pamoja, ikiwa ni sehemu ya kuonyesha umuhimu wa kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo. Kauli mbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi".

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akihutubia wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja Benki ya CRDB. Kauli mbiu ya Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Benki ya CRDB ni "Dream Team/ Timu ya Ushindi" ikihamsisha kufanya kazi kama timu katika kufikia malengo ya kutoa huduma bora kwa waters.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad