Peaky Blinders ni sloti ya mtandaoni kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridian Pekee - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 9, 2020

Peaky Blinders ni sloti ya mtandaoni kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridian Pekee

PEAKY Blinders imerejea tena! Japokuwa, sio ile inayosubiriwa ya msimu wa 6. Kiuhalisia, kionjo kimeshatoka na kuanza kwa mchakato wa utayarishaji kumeshatangazwa, ila mashabiki wa mchezo huu wataendelea kusubiri mpaka 2022. Usijali! Kitu cha kuendelea kukufurahisha kipo hapa. Mchezo mpya wa video unaoitwa Peaky Blinders umekufikia katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridian. Endelea kuucheza wakati unasubiri msimu mpya. Unafurahisha na unaweza kukupatia pesa!

Kurejea kwa Peaky Blinders katika mfumo mpya wa mchezo wa kasino ya mtandaoni.


Umeshajua hii ni nini? Peaky Blinders inaongelea kundi maarufu Birmingham. Mchezo huu umechezwa katika mazingira ya baada ya Vita ya Kwanza ya Dunia na inaonesha maisha ya kiongozi mdogo wa kundi hili mwenye shauku kubwa, Thomas Shelby. Hii familia inaasili ya Ireland, lakini wanaishi Birmingham na hapo ndipo himaya ilipoanzia. Wanafamilia wote wanahusika katika shirika hili la kijasusi na kila mmoja anaijua kazi yake vizuri. Kuanzia kwa Thomas mpaka kwa kaka yake Arthur, Shangazi Polly. Mchezo huu katika Kasino ya Mtandaoni ya Meridian umetengenezwa na Pragmatic Play.

Peaky Blinders ina mistari mitano katika safu tatu na namba 20 za malipo. Ushindi unahesabiwa kutokea kushoto kwenda kulia, kuanzia kwenye mstari wa kwanza upande wa kushoto.

Alama zinawezakugawanyika katika makundi matatu: alama za malipo madogo, alama za malipo makubwa na alama maalumu. Alama za malipo madogo ni alama za kadi 10, J, Q, K na A. Lakini alama hizi zina muhuri wa mchezo. Utaona viwembe na maganda ya risasi kwenye baadhi ya alama.
Alama za malipo makubwa ni wahusika wakuu wa mchezo: Michael Gray, Polly, Arthur Shelby na Thomas Shelby.

Arthur na Thomas ndio alama za malipo ya thamani kubwa Zaidi. Alama tano za Arthur kwenye nambari za malipo zinakupatia mara 15 zaidi ya dau lako, wakati alama za Thomas zinakupatia mara 20 zaidi ya dau lako.
Jokeri linawakilishwa na picha ya Thomas Shelby akiwa na sigara mdomoni ikiwa na maandishi makali. Anabadilisha alama zote kasoro alama maalumu na anasaidia kutengeneza ushindi wa jumla.

Peaky Blinders ina sifa za kipekee.


Alama ya Duka la Kubashiri la Shelby inaonesha sifa ya kipekee ya Familia ya Shelby. Alama hii inapotokea kwenye mstari wa tano bila alama ya bonsai kwenye mstari wa kwanza au wa tatu, wataalamu wa familia ya Shelby wanaanza. Mstari wa 6 utaongezeka na kila muhusika mkuu ataanza kupokea thamani Fulani ya pesa. Mara ngapi utakuwa na alama maalumu (Thomas, Polly, Arthur na Michael) kwenye mistari ya mzunguko, hizo thamani zitaongezeka na mapato yako yataongezwa. 

Inapotokea alama ya Peaky Blinders kwenye mstari wa tano bila alama ya bonus kwenye mstari wa kwanza na wa tatu, mchezo wa bonasi “By order of the Peaky Blinders” unaanza. Kila ushindi utalipwa kwanza na alama ya mwitu itabaki kwenye mistari. Baada ya hapo, alama moja itaanza na alama mwitu zote katika mistari baada ya kuzungusha zitahamishiwa kwenye alama mojawapo ya malipo makubwa.

Pia kuna aina mbili za mizunguko ya bure. Utaanza wa kwanza utakapopata alama ya bonasi kwenye mstari wa kwanza na wa tatu na alama ya Duka la Kubashiri la Shelby katika mzunguko wa tano. Hapo utapata mizunguko nane ya bure na wataalamu wa familia ya Shelby wataanza kutokea kwenye hatua hii.
Utapata ya pili pale ambapo utapata alama ya bonasi kwenye mstari wa kwanza na tatu na alama ya By the Order of The Peaky Blinders kwenye mstari wa tano. Kila inapotokea alama ya By The Order of The Peaky Blinders kwenye mstari wa tano, hii inatokea pia katika mizinguko ya bure.
Kadiri unavyocheza unajitengenezea nafasi ya kupata 96.5% ya kila ushindi unaoupata.

Kutana na wanafamilia maarufu wa familia ya Shelby kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridian pekee.


Muonekano wa picha unavutia na umechezwa katika mitaa ya Birmingham ambapo utaona moto na moshi mara kwa mara. Katuni za kuvutia na miziki inakusubiri unapozitumia sifa maalumu za mchezo huu. Unapoanza mchezo, utakutana na mchezo miziki mwanzoni mwa kila onesho.

Kama umeikosa Peaky Blinders, ingia kwenye Akaunti Yako ya Meridian na ucheze mchezo huu wa kipekee. Itakupunguzia muda mpaka mwanzoni mwa msimu wa 6 wa onesho hili. Unakumbuka msimu wa tano ulivyokwisha? Thomas Shelby ameshikilia bunduki kwenye hekalu lake na muongozaji akatangaza kuanza kwa msimu mpya kuanzia hapa. Tusimalize uhondo, ni muda wa kufurahi na Peaky Blinders kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridian bekee!
5 comments:

Post Bottom Ad