Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na wanachi wa KATORO mkoani Geita - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 9, 2020

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na wanachi wa KATORO mkoani Geita

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Katoro katika mkutano wa Kampeni za CCM wakati akielekea Chato mkoani Geita leo tarehe 9 Septemba 2020.
. Waziri wa Madini Doto Biteko akiwa na pacha wake Kurwa Biteko pamoja na wagombea Ubunge  wengine wa CCM mkoa Geita.
Sehemu ya Wananchi wa Katoro na Buseresere wakishangilia wakati Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili Katoro mkoani Geita.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad