MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AUNGURUMISHA SERA MBELE YA MAELFU YA WANANCHI MJINI BUKOBA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 16, 2020

MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AUNGURUMISHA SERA MBELE YA MAELFU YA WANANCHI MJINI BUKOBA

 


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba Vijijini Mhe. Jason Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingoja zamu zao baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020.Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri wa Maliasili na Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagasheki akimnadi Bw. Stephen Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wa jimbo hilo huku Meya Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani (kulia) akingoja kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020


Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020.

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofariki na wengine kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokea majuzi kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020


Maelfu kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  katika mkutano wake wa kampeni  katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020.


Wasani wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM bnaada ya kutumbuiza kwenye mkutano wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Septemba 16, 2020.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Ali
Kiba baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.


Msanii Ali Kiba akifurahia kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Kala Jeremiah baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020.

Msanii Kala Jeremiah akifurahia zawadi ya kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufulibaada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad