Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Rais Dkt. Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nyamirembe, Kashalunga na Muleba mkoani Kagera - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, September 15, 2020

Mgombea Urais kupitia tiketi ya CCM Rais Dkt. Magufuli akizungumza na Wananchi wa Nyamirembe, Kashalunga na Muleba mkoani Kagera

 

 Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020.

Sehemu ya Wananchi wa Muleba mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili Muleba mjini leo tarehe 15 Septemba 2020.

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kyamyorwa Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kashalunga Muleba mkoani Kagera leo tarehe 15 Septemba 2020 katika Mikutano ya Kampeni za CCM.


Wananchi wa Nyambirembe na Kashalunga Muleba mkoani Kagera wakishangilia mara baada ya Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika maeneo hayo kwa ajili ya mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 15 Septemba 2020

Mgombea wa Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nyamirembe Chato mkoani Geita,
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad