HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, September 28, 2020

MGOMBEA MWENZA WA CCM AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MANYARA WAKATI WA KAMPENI ZAKE

 

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Babati Vijijini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa  Galapo Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 28, 2020.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kongwa Dodoma wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa  Galapo Wilaya Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 28,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) 
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Babati Vijijini alipowasili katika Uwanja wa Galapo Babati vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 28,2020 kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 28,2020

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Irkiushiobr na kijiji cha Simanjiro alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Vijijini Mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 28,2020.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad