Mgombea Mwenza wa
Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na
Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni Mkoa wa Dar es salaam katika mkutano wa
Kampeni wa Chama cha Mapinduzi CCM kwenye Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mji Mwema leo Septemba 08,2020.
Aliyekuwa
Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chadema Kadawi Lucas Limbu akirudisha kadi
iliyokuwa yake ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kwa Mjumbe
wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan, baada ya kuamua kukihama Chama hicho na kujiunga na Chama
cha Mapinduzi CCM leo Septemba 08,2020 kwenye mkutano wa Kampeni za
Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya
Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mji Mwema Jijini Dar es
salaam.


Wanachama wa
Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Kigamboni Jijini Dar
es salaam wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa
akiwahutubia kwenye mkutano wa kampeni wa Chama Cha Mapinduzi katika
Uiwanja vya Zamani wa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Mji Mwwema Dar es
salaam leo Septemba 08,2020.


Mgombea Mwenza wa
Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wasanii wa kikundi cha Mama Ongea
na Mwanao alipowasili Uwanja wa Ofisi ya Zamani ya Mkuu wa Wilaya ya
Kigamboni Mji Mwema kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama
cha Mapinduzi CCM leo Septemba 08,202.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment