MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – WILAYA YA MEATU MKOANI SIMIYU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 16, 2020

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – WILAYA YA MEATU MKOANI SIMIYU

 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Meatu, mkoani Simiyu, wakati akiwasili katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Stendi, Kata ya Mwanhuzi
Wananchi wa Kata ya Mwanhuzi-Meatu, mkoani Simiyu, wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Stendi, Septemba 15, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasalimia wananchi wa Meatu, mkoani Simiyu, wakati akiwasili katika mkutano wa kampeni, uliyofanyika kwenye viwanja vya Stendi, Kata ya Mwanhuzi,

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad