NMB BIMA MARATHON 2020 YANUKIA, WADAU KAENI MKAO WA MBIO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 27, 2020

NMB BIMA MARATHON 2020 YANUKIA, WADAU KAENI MKAO WA MBIO

Endapo kama ulijisajili mwezi Machi USIWE NA SHAKA!
Bado unaweza kutumia tiketi ile ile Septemba 12 katika mbio za 
NMB BIMA MARATHON
zitakazoanzia Mlimani City jijini Dar es salaam.
#TuchapeMwendo
#NMBBimarathon
No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad