MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 31, 2020

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM JIJINI DODOMA

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM wakati wakiimba Wimbo wa Chama kabla ya kuongoza Kikao hicho cha Kamati Kuu jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein mara baada ya kutoka kwenye Kikao cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM jijini Dodoma leo tarehe 31 Agosti 2020. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad