MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WANAWAKLE TANZANIA (UWT) - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 10, 2020

MAKAMU WA RAIS SAMIA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA KUU LA WANAWAKLE TANZANIA (UWT)

 

 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimtunuku Tuzo Maalum Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kwa kutambua mchango wake na kuwawakilisha Wanawake Vizuri katika majukumu yake, wakati  wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT uliofanyika leo Agosti 10,2020 katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wajumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza hilo uliofanyika katika Ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma leo Agostui 10,2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad