Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Bibi Albetina Kasanga ambaye ni Mama Mzazi wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mizengo Pinda wakati alipomtembelea Bibi huyo nyumbani kwake katika kijiji cha Kibaoni Mkoani Katavi, Julai 5, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sunday, July 5, 2020

WAZIRI MKUU AMTEMBELEA MAMA MZAZI WA MHE. PINDA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment