Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mayasa Mahfoudh Mwinyi akitoa maelezo kuhusu
Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanyakazi wa mwaka 2020/21 katika hafla
ya ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti huo yaliofanyika katika Ofisi ya
Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Usalama na Afya Kazini Suleiman Khamis Ali akitoa
hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa
Kufanyakazi wa mwaka 2020/21 yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu
wa Serikali Mazizini Zanzibar.
-Baadhi ya Wageni waalikwa na Wadadisi wa Mafunzo
ya Utafiti wa Watu wenye Uwezo wa Kufanyakazi wa mwaka 2020/21
waliohudhuria katika mafunzo yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu
wa Serikali Mazizini Zanzibar.
Mwenyekiti wa Bodi ya Takwimu Zanzibar DKT,Said Gharib Bilal akitoa neno
la Shukrani katika hafla ya ufunguzi wa Mafunzo ya Utafiti huo
yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini
Zanzibar.
Mkurugenzi Idara ya Usalama na Afya Kazini Suleiman Khamis Ali
(katikati)akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi na Wadadisi
katika hafla ya mafunzo kwa Wadadisi wa Utafiti wa watu wenye uwezo wa
kufanya kazi yaliofanyika katika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali
Mazizini Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment