Makanali wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza
lenye mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa
wakati wakiingia katika sehemu ya Ibada katika Misa ya Dominika ya 17 ya Mwaka
‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin William Mkapa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ
likiwa limebeba Jeneza lenye mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu
Benjamin William Mkapa wakati likiwasili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es
Salaam.
Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiwa pamoja na familia
yake katika Misa hiyo iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwa
katika Misa hiyo ya Dominika ya 17 ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na
Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika
Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiwa pamoja na viongozi wengine wa Kitaifa wakishiriki Misa ya Dominika ya 17
ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Marehemu Benjamin William Mkapa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Mjane wa Rais Mstaafu wa
Awamu ya Tatu Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa akiwasili
katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam kwa ajili ya Misa ya Dominika ya 17
ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu
Marehemu Benjamin William Mkapa.
No comments:
Post a Comment