Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli akisaini kitabu cha
Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin
William Mkapa mara baada ya kuwasili nyumbani hapo wakati akitokea
jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee
Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akimfariji Mjane wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Mzee
Benjamin William Mkapa Mama Anna Mkapa nyumbani kwa Marehemu Masaki
jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa pamoja na wanafamilia wa
Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa
wakimuombea sala Marehemu Mzee Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es
Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwafariji na kuwapa pole
familia ya Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa nyumbani kwa Marehemu
Masaki jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiondoka msibani pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli mara baada ya
kutoa pole kwa familia ya Marehemu Mzee Benjamin William Mkapa nyumbani
kwa Marehemu Masaki jijini Dar es Salaam.
PICHA NA IKULU

No comments:
Post a Comment