Ofa Kabambe za Soka Wikiendi - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 17, 2020

Ofa Kabambe za Soka Wikiendi

Mbio za Taji la La Liga msimu huu zimekuwa nzuri japo ni ndefu na mzunguko wa pili kutoka mwisho wa La Liga Primera unakuja na zawadi kutoka kwa watengeneza odds, Uko tayari kucheza Kihispania?! 

Vilabu viwili vinapambana kutwaa Ubingwa wa Hispania, kwasasa Rela Madrid wepo nafasi ya kwanza na hawategemei kufanya kosa huku zikiwa zimesalia mechi mbili kalba ya msimu kumalizika, na kama hili litatokea Barcelona akatwaa Ubingwa basi taji hili litasalia Camp Nou.

Wataalamu wakubashiri wameandaa ofa za machaguo ya Ubashiri Zaidi ya 7,000 kwa mzinguko wapili kutoka mwisho wa La Liga. Pia unaweza kuona jumla ya ofa kwenye mzunguko wa 37 kwenye Ligi Kuu ya Hispania kwenye link hii na mechi itakayovuta hisia za watu wengi, ni Alhamisi usiku pale Barcelona na Real Madrid zitakapokuwa uwanjani zikicheza.

The Catalans walitarajiwa kuikacha nafasi ya kwanza kwa Real Madrid, lakini bado hawajakata tamaa kutetea ubingwa wao msimu huu. Tofauti ya alama nne bado inawapa nafasi, kwasababu Osasuna watakuwa wageni katika mechi ambayo timu ya Kike Setjen inapewa nafasi.

Odds kwa Barca ushindi ni 1.17, na kama unataka kuipa nguvu, tumia mchanganyiko wa ushindi na magoli. Kwa hatua nyingine, Real Madrid kuwa kwenye kiwango bora cha mfululizo wa matokeo tangu Ligi irejee. Kwahiyo, hakuna kitu cha kushangaza pale Santiago Bernabeu wakati wakiialika Villarreal. Ushindi kwa timu wenyeji inategemewa kwenye mechi hii pia, ambayo inathibitishwa kwa Odds yake nzuri - 1.50.


Mtanange kati ya Atletico Bilbao na Leganes itakuwa ni yakuvutia. Klabu kutoka jiji la Basque Country inapambana kujihakikishia nafasi ya kucheza hatua ya makundi Europa msimu ujao na hawataki kupoteza “nyumbani” kwa timu ambayo inahofia kushuka daraja kutoka kwenye Ligi bora ya Hispania.
Unaweza kuona ofa na odds kwa mechi zilizosalia kwenye mzunguko wa pili kutoka mwisho wa Spanish Primera HAPA.

21 comments:

  1. Real Madrid kwa hakika wako vizuri kwa msimu huu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad