Msajili wa Vyama vya Siasa Mhe.
Jaji Francis Mutungi akisisitiza jambo wakati wa siku ya pili ya mafunzo
kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya
gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni
maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mchumi Mwandamizi wa Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Emmanuel Msengi akiwasilisha mada
kuhusu sharia ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo
kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya
gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni
maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Muhasibu toka Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa (ORPP), CPA. Edmund Mugasha akiwasilisha mada kuhusu
sheria ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu
elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za
uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana
jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki
wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Mkaguzi wa Ndani toka Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Musa Boma akiwasilisha mada
kuhusu utaratibu wa uwasilishaji wa malalamiko kutokana na sheria ya
gharama za uchaguzi wakati wa siku ya pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa
umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya gharama za uchaguzi
kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini
Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa ni maandalizi ya ushiriki wa
wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Afisa Tehama Mkuu toka Ofisi ya
Msajili wa Vyama vya Siasa (ORPP), Bw. Chady Zawoya akiwasilisha mada
kuhusu adhabu chini ya sheria ya gharama za uchaguzi wakati wa siku ya
pili ya mafunzo kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa
na sheria ya gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa
Vyama vya Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa
ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020.

Kaimu Mkuu wa Idara ya Uchaguzi
na Luzuku toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa,(Ag.ARPP –E&G),
Bi. Hollo Kazi. Akifafanua jambo wakati wa siku ya pili ya mafunzo
kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya
gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa(ORPP) jana jijini Dodoma. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha
Usajili wa Vyama vya Siasa, Muhidin Mapeyo na Muhasibu Mkuu CPA. Edmund
Mugasha.

Baadhi ya washiriki wa mafunzo
kuhusu elimu kwa umma juu ya sheria ya vyama vya siasa na sheria ya
gharama za uchaguzi kwa watumishi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa(ORPP) wakifuatilia mada zilizokuwa zinawasilisha kuhusu sharia ya
gharama za uchaguzi jana jijini Dodoma. Mafunzo hayo yanafanyika ikiwa
ni maandalizi ya ushiriki wa wafanyakazi wa ORPP katika mchakato wa
Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020. (Picha na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya
Siasa – ORPP)
No comments:
Post a Comment