SBL waiunga mkono Wizara ya Afya kusambaza ujumbe kuhusu Covid-19 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 31, 2020

SBL waiunga mkono Wizara ya Afya kusambaza ujumbe kuhusu Covid-19

Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha (kushoto) akipokea sehemu ya vipeperushi vyenye ujumbe wa kuelimisha umma juu ya homa kali ya mapafu maarufu kama Covid 19 kutoka kwa Zaidan Wilfred ambaye ni afisa kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. SBL imejitolea kuisaidia Serikali kusambaza vipeperushi hivyo nchi nzima.
Mkurugenzi wa Mahusiano kwa Umma wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) John Wanyancha (kushoto) akipokea moja ya kipeperushi chenye ujumbe wa kuelimisha umma juu ya homa kali ya mapafu maarufu kama Covid 19 kutoka kwa Zaidan Wilfred ambaye ni afisa kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. SBL imejitolea kuisaidia Serikali kusambaza vipeperushi hivyo nchi nzima.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad