RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI SIMBACHAWENE IKULU JIJINI ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, March 10, 2020

RAIS DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA WAZIRI SIMBACHAWENE IKULU JIJINI ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.    Mhe. Goerg  Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha na kufanya mazunguzo yaliofanyika leo 10-3-2020, katika ukumbi wa Ikulu., baada ya kuchaguliwa kushika nafasi hiyo.(Picha na Ikulu)
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Goerg Simbachawene, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mazungumzo  yaliofanyika  katika ukumbi wa Ikulu leo.10-3-2020.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Goerg Simbachawene, alipofiki Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kujitambulisha na kufanya mazungumzo yaliofanyika leo,10-3-2020 katika ukumbi wa Ikulu (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad