TASWIRA MBALIMBALI MAHAFALI YA 18 CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA MBEYA .. - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 2 December 2019

TASWIRA MBALIMBALI MAHAFALI YA 18 CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA MBEYA ..


Mahafali ya kumi na nane (18) chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Mbeya yamefanyika Tarehe 29 Novemba 2019 katika viwanja vya chuo hicho kwa kuongozwa na Bendi ya Magereza katika Maandamano ya kitaaluma kuelekea sehemu ya mahafali pamoja na, Wakuu wa kampasi za Vyuo, Skuli, Taasisi na kurugenzi.


 kutoka kulia Pichani ni Jaji mstaafu Barnabas Samatta mkuu wa chuo kikuu Mzumbe akitunuku Shahada, Stashahada na Astashahada kwa wahitimu wa chuo cha Mzumbe kampasi ya Mbeya.

 Baadhi ya wahitimu wakiwa wamependeza na Mavazi ya heshma na maalum katika Sherehe kubwa ya mahafali ya kumi na nane (18) chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Mbeya 
PICHA ZOTE NA MR.PENGO MBEYA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad