SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA ZBC REDIO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 6 November 2019

SHEIN AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA ZBC REDIO

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar alipowasili katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar katika mkutano na Wafanyakazi wa ZBC Redio uliofanyika leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)alipokuwa akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud Thabit Kombo na (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar.
 Mtangazji wa Habari wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio Khadija Ali Hassan alipokuwa akiuliza suala wakati wa Wafanyakazi wa Shirika hilo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) uliofanyika leo katika ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar.
Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa akitoa ufafanuzi na majibu ya masuala mbali mbali yaliyoulizwa katika mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Redio na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,uliofanyika leo katila ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la ZBC Redio wakiwa katika mkutano chini ya mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad